Wakaaji wapya wa Maine hutoa suluhisho linaloonekana kwa changamoto za idadi ya watu zinazokabili Maine – jimbo lenye watu weupe na kongwe zaidi nchini. Talanta ya kimataifa ambayo imewasili Maine katika miaka ya hivi karibuni ni pamoja na ujuzi na motisha. Umri wa wastani wa wageni ni 27, ikilinganishwa na 43.6 katika wazaliwa wa Maine wa asili; 37% wana shahada ya kwanza au zaidi; 42% wamejiandikisha katika chuo kikuu au walihitimu, ikilinganishwa na 27.8% katika idadi ya wazaliwa wa asili. Tangu 2011, idadi ya wahamiaji wa Portland inachukua 75% ya jumla ya ukuaji wa idadi ya watu.

Kwa bahati mbaya, Maine pia ina sumbuliwa na changamoto ya “ubadhirifu wa ubongo” – utumiaji mdogo wa wahamiaji wenye ujuzi wa juu. Sababu za ‘ubadhirifu wa ubongo’ ni tofauti: ustadi mdogo wa unenaji Kiingereza, haswa dhaidi katika usemi wa lugha na matumizi maalum ya kazi za mikono; vizuizi na gharama kuu za urekebishaji wa shahada; kukosa “kuaminika” au aina fulani ya thamani ya ujifunzaji wa mapema na uzoefu wa kitaaluma; tabia ya waajiri wamoja kutaka kupunguza mafunzo na uzoefu wa kigeni; mitandao ndogo ya kitaalam na kijamii humu Marekani; ukosefu wa habari na mwongozo unao kando kando ya vinavyoombwa kwa kuingia tena kazini.

Habari na rasilimali zinapatikana, hata hivyo, kwa kusaidia wageni kupata ujuzi wa kuuza, kusonga mbele katika taaluma nchini Marekani, au kwa kutumia uzoefu wao wa kazi mapema hapa Maine. Tafadhali chunguza mapendekezo yaliyo hapa chini, na ikiwa hakuna chaguzi yoyote inayoonekana kutumika kwa hali yako, tutumie barua pepe kwa Ofisi ya Fursa ya Kiuchumi na tutakuunganisha kwenye rasilimali inayofaa: [email protected]

Kituo Rasilimali kwa wa Mainers wapya kunako Portland chuo cha Elimu ya Watu Wazima:
hutoa mipango kwa wataalamu wenye ujuzi, ajira na usimamizi wa kesi, mafunzo makini yanayolenga ustadi wa utayari wa kufanya kazi, fursa za mitandao, semina, na zingine iliyoundwa kusaidia wa Mainers Wapya kushinda vizuizi vya kuingia kazini humu Marekani. Washiriki wa NMRC wanaweza pia faidisha kwa madarasa mengine na mipango inayotolewa popote kunako Portland Adult Education, na kwa washirika wa jamii. Kituo hiki pia kinaongoza washiriki kupitia michakato ya kupata leseni na udhibitisho. Madarasa yanayokuja ni pamoja na mada kama vile CDL (Dereva wa Lori), CAN, au Chuo cha Elimu (kwa wale wanaotamani kuwa walimu). Tafadhali chunguza tovuli la Elimu ya Watu Wazima ya Portland au tuma barua pepe kwa Sally Sutton kwa [email protected]

Huduma za Wakimbizi na Uhamiaji kwa Catholic Charities:
Ikiwa umepewa hifadhi, huduma kwa wakimbizi na za Uhamiaji wa Catholic Charities hutoa msaada kusaidia na maendeleo ya kikazi. Ili kukutana na meneja wa kesi ambaye anaweza kukujulisha msaada gani unapatikana kwa wakati huu. tafadhali piga simu kwa: (207) 871-7437.

dara ya Vituo vya Kazi ya Kazi:
Vituo vya Kazi kote jimboni vinaweza kukuunganisha na mafunzo ya bure, ujifunzaji, na rasilimali, na pia kutoa msaada wa moja kwa moja na usaidizi wa kikundi ili kuongeza wasifu wako au kuboresha ujuzi wako wa mahojiano, kati ya matoleo mengine mengi.

Tembelea Kituo cha Kazi cha eneo lako mara kwa mara na uwaulize kuhusu fursa mpya zilizopo: https://www.mainecareercenter.gov/locations/index.shtml
WIOA (Sheria ya Ubunifu wa nguvukazi na Fursa): iliyoundwa ili kusaidia wanaotafuta kazi (kutoka anuwai ya uhamiaji) kupata ajira, elimu ya kulipwa, mafunzo ya bila gharama, na huduma za msaada ili kufanikiwa katika soko la ajira. Watoaji huduma wa WIOA hutumika katika kila mkoa serikalini.

Mpango wa Aroostook Community Action (ACAP) Huhudumia wakaazi wa Kata ya Aroostook https://www.acap-me.org/workforce-development.html Wasiliana na: Kathy Williams 207-554-4137 Barua pepe: [email protected]
Workforce Solutions
Huhudumia wakaaji wa Kata za Cumberland, Knox, Lincoln, Sagadahoc, Waldo, and York. Tovuli: https://workforcesolutionsme.org/ Wasiliana na: Sarah Overlock 207-930-7047 Email: [email protected] In Portland, call 775-5891, Watembelee kunako 190 Lancaster Street, au tazama tovuli lao kwa habari zaidi : https://goodwillnne.org/locations/goodwill-workforce-solutions-office-portland-me/
Eastern Maine Development Corporation (EMDC)Serves residents of Kennebec, Somerset, Hancock, Penobscot, Piscataquis, and Washington counties Website: https://www.emdc.org/workforce/ Contact Person: Amanda Smith 207-951-2349 Email: [email protected]

Community Concepts (CCI)
Huhudumia wakaaji wa kata za Androscoggin, Oxford, and Franklin Tovuli: https://www.ccimaine.org/
Wasiliana na: Cathy Stairs 207-753-9037
Email: [email protected]