Marekani ,raia wanahitajika kufungua ushuru wa kila mwaka na kulipa sehemu yao ya ushuru wa mapato ifikapo aprili 15 kila mwaka. Kuandaa ushuru kunaonekana kupita uwezo au ni mkubwa lakini sio lazima iwe. Kutengeneza mambo yawe rahisi ,hapa kuna orodha ya hati na maelezo ya kukusanya kabla ya kutembelea mtaalamu wa kodi kufungua kodi yako binafsi.

Hati za ushuru
Januari ndio wakati watu wanaanza kupata hati zinazohitajika ili kufungua kodi .hizi kwa kawaida zinawasilishwa zinawasilishwa na waajiriwa na zinaweza kuwa ni pamoja na : w-2s[ fomu inayoonyesha mapato ya mwaka uliopita] au 1099s [fomu nyingine ya mapato].\

Habari ya kibinafsi
Majina,miezi ya kuzaliwa, namba za hifadhi za jamii zinahitajika wakati wa kufungua ushuru.Haya maelezo yanahitajika pia na mwanafamilia yeyote [ pamoja na wenzi na wategemezi. ]kukusanya nambari za uelekezaji na maelezo ya akaunti ya benki ambapo marejesho yatawekwa kwa elektroniki. Mfanyikazi yeyote wa benki anaweza kusaidia kupata habari hii na mara nyingi huorodheshwa kwenye wavuti ya taasisi za kifedha.

Risiti
Huduma ya mapato ya ndani (IRS) Wakati mwingine itatoa mkopo kwa ununuzi unaohitajika uliofanywa kwa kipindi cha mwaka. Hii inaitwa punguzo na kupunguza kiwango cha mapato yanayoripotiwa.wakati mapato yanapunguzwa. Watu wanzweza kupokea malipo ya wanalipa kidogo kwa ushuru. Kukusanya risiti na uthibitisho wa vitu vilivyonunuliwa kwa matumizi kama punguzo.

Vyanzo vinavyowezekana vya upendeleo:

2. Gharama ya kuendeleza biashara: vifaa vya biashara ,kodi na kadhalika.
3. Michango ya hisani
4. Gharama ya matibabu
5 Gharama ya malezi
6 Gharama ya masomo
7 Gharama ya bima ya afya
8 Taarifa za akiba ya kustaafu
9 Maboresho ya nyumba yenye ufanisi wa nishati

Kujaza kodi
Ushuru unaweza kutayarishwa kwa mkono na kutumwa kwa ofisi ya IRS .
Zinaweza pia kufunguliwa mtandaoni kwa kutumia programu ya uundaji wa ushuru .Wamiliki wa biashara ndogo ndogo mara nyingi huwatumia wahasibu wa kodi ili wawasaidie kuandaa hati za ushuru kwani wahasibu hawa wanajua vizuri na wanaelewa sheria na wanajua punguzo na maandalizi ya ushuru.Mashirika mengi ya humu nchini wanawasaidia watu kuandaa kodi .wale wa kujitolea katika jamii mara nyingi wanasaidia kodi kwa gharama ndogo au husaidia tuu bila gharama .
Tarehe ya kuwasilisha kodi ni ni aprili 15 ya kila mwaka, lakini ni himizo kuwa hiyo shughuli ianze mapema hata ikiwezekana mwezi mmoja mbele. Watu wanapowasilisha ushuru mapema ,hali ya mafadhaiko inapunguka.Marejesho yatawekwa mapema , pamoja na mapato ya ushuru hii itakuwa kumaliza ushuru wa mwaka mzima.

Kuhifadhi rikodi
Baada ya ushuru kufunguliwa ni wazo zuri kuweka nyaraka pamoja ikiwa ni pamoja na risiti na karatasi zingine. Kuhifadhi hati katika eneo salama pamoja na mapato ya ushuru kwa utunzaji salama wa kumbukumbu .Mwaka ujao wakati kama huu mchakato utakuwa rahisi zaidi!